Log in
Union of Non Governmental Organizations (UNGO)

Union of Non Governmental Organizations (UNGO)

Morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Tuko pamoja katika kuomboleza msiba huu mkubwa katika taifa letu
Hali hii kwa sasa iko katika baadhi ya mikoa na athari kubwa imetokea Dar es Salaam na tunasikia na kuona baadhi ya taasisi,watu binafsi n.k ikiwa ni pamoja na serikali zikichukua hatua kuwanusuru wahanga
Hima wana azaki tuwaunge mkono HAWA WASAMARIA WEMA kukabiliana na majanga na janga hili la mafuriko na mengine yanayotukumba na kurejea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na ajali za barabarani na majini
Naamini tuna uwezo mkubwa wa kutoa elimu na kuhamasisha jamii kuleta mabadilko na kuchukua tahadhari mahususi kuliko hali iliyopo ya kila ikitokea na kimsingi bado yataendelea kutokea kulaumiana kwa hili na lile na kunyosheana vidole
Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuibadili hali hii
Tubadilike sisi kwanza kwa kuchukua hatua ndipo tuanze kuwabadili na wengine!
Kwa pamoja twende tutafika mbali

large.jpg

UNGO in collaboration with Morogoro Rural Council is implementing Access To Information addressing the challneges facing primary education performance.One of the challenges is accessibility. ATI has raised community voice and decided to take an action to improve the situation-construction of Mtombozi bridge

large.jpg

Public Expenditure tracking System training conducted at Kilindi district,Tanga