Log in
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

Week ya Azaki DODOMA chini ya mwaliko wa FCS - UNA TANZANIA tuna jifunza mwengi sana ikiwa ni pamoja na kujenga mtandao toka kwa mashirika mengine

Alliance For Women,Children and Youth Survivors at Muheza district celebrating Uhuru Touch, at front page National Uhuru touch Coordinator Charles Francis Kabeho, Mr Steven Peter Mfuko a managing director of AWCYS and Hon.Eng Mwanasha Tumbo District Commissioner of Muheza who is also a chairperson of campaign named Ulinzi na Elimu kwa Mtoto wa Muheza ni Wajibu Wangu ,AWCYS is actively supporting this campaign this is among of the initiatives to promote Global Goals in promoting and defending child rights.

Alliance for Women,children and Youth Survivors(AWCYS -NGO) 
kwa kishirikiana na Taasisi ya Uigizaji na Ngoma za Asili Tanzania (UNA) Tuna muunga mkono MH: MWANASHA TUMBO Mkuu wa wilaya ya MUHEZA Kuanzisha Kampeni ya ##ULINZI NA ELIMU KWA MTOTO WA MUHEZA TANGA NI JUKUMU LANGU##

Kwani ni wajibu wa MZAZI,MLEZI na JAMII nzima kusimamia ELIMU na ulinzi Kwa mtoto

Je wewe ni mlinzi wa mtoto huko uliko ?

Je uko tayari kusimamia kupatikana kwa Ulinzi na Elimu kwa Mtoto?

Karibu tumuunge mkono Mh mkuu wa Wilaya ya MUHEZA TANGA

Alliance for women,children and youth survivors.

Tuna muunga mkono

MH: MWANASHA TUMBO

Kwani Mtoto ana haki yakupata ulinzi na elimu iliyo bora na salama

"SISI TUNAUNGA MKONO KAMPENI HII WEWE JE" ?

POWED BY AWCYS & OFISI YA MKUU WA WILAYA MUHEZA

Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) At Nguvumali Secondary School In Tanga Town through our project "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"

Present Theater for Development(TFD) to create an awareness in the community venues, in a participatory way to excite school community members to enter into actions including to search for reality of early pregnancy and unsafe abortion, analyse them and suggest the possible solutions. With great support from Pathfinder International

Swahili:
Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) tukiwa shule ya sekondari Nguvumali Tanga Mjini kupitia mradi na kampeni ya "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"

Kupitia Maonesho ya wazi ya sanaa shirikishi juu ya mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kwa kuhamasisha jamii kupitia njia shirikishi ili hatua stahiki zichukuliwe na kupatikana ukweli juu ya utoaji wa mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kuzielezea na kushauri nini kifanyike. Kwa hisani ya Pathfinder International

Saidia Mtoto wa Tanzania Uisaidie Tanzania

#sanaakitaan

Ndoto_Mpya