Fungua
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION

THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION

DAR ES SALAAM, Tanzania

Mabadiliko Mapya
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imehariri sehemu ya Vision.
19 Agosti, 2012
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imeumba ukurasa wa Timu.
1. SYLVESTER J. LUGONGO - EXECUTIVE DIRECTOR – 2. IMANI E. KIFUKWE - DIRECTOR OF PLANNING, POLICY AND RESEARCH. – 3. JOYCE VUMU - TREASURER ( DIRECTOR OF FINANCIAL AND PROPERTIES) – 4. VENERANDA M. MINJA - MEMBER – 5. ERNEST S. ERNEST - MEMBER – 6. JOHN Z.W CHIRONDA - MEMBER ... Soma zaidi
18 Agosti, 2012
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imeongeza Habari 6.
MWENYEKITI WA ASASI YA UMO BW. SYLVESTER LUGONGO. AKIFUNGUA RASMI SEMINA YA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WADAU WA ASASI JUU YA UENDESHAJI BORA WA ASASI.
18 Agosti, 2012
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imeumba sehemu ya Vision.
18 Agosti, 2012
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imeumba sehemu ya Lengo.
18 Agosti, 2012
THE UNEMPLOYED MOVEMENT ORGANIZATION imejiunga na Envaya.
1 Februari, 2012
Vision

Kuwa na jamii yenye mabadiliko ya kimaisha kwa kutambua haki za msingi za kumiliki na kuwa na uwelewa mzuri juu ya matumizi bora ya rasilimali katika kukuza maendeleo ya kiuchumi kwa mtu au kikundi cha watu katika jamii.

Lengo

Kuwezesha jamii popote nchini kupitia utoaji wa elimu na mafunzo ili kuinua ujuzi wa kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi kwa nia ya kukuza kipato cha kuwezesha kukimu maisha ya kila mmoja.

 

Sekta
Sehemu
DAR ES SALAAM, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu