Fungua
TANZANIA DIAMONDS AND GEMSTONES POLISHERS ASSOCIATION

TANZANIA DIAMONDS AND GEMSTONES POLISHERS ASSOCIATION

IRINGA, Tanzania

1.Kuunganisha watu wote  wenye taaluma ya uchongaji  wa Almasi na Vito kuweza kutumia taaluma yao kujitafutia kipato.

2.Kusaidia watu wasiojua/wasiotambua  au kupambanua aina mbalimbali za Madini ili waweze  kutambuliwa "mawe/vito/madani"wanavyovipata  kwa kuokota  nk.

3.Kusaidia kupata Dira  ya bei  kwa kuzingatia ukubwa,uzito,uboro nk.

4.Kusaidia kutafuta au kuunganisha wenye vito/madini na soko.

Mabadiliko Mapya
TANZANIA DIAMONDS AND GEMSTONES POLISHERS ASSOCIATION imejiunga na Envaya.
4 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
IRINGA, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu