Fungua
TASWIRA COMMUNITY DEVELOPMENT ORGANIZATION

TASWIRA COMMUNITY DEVELOPMENT ORGANIZATION

BAGAMOYO, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

MRADI WA KILIMO CHA MBOGA KUPITIA SHAMBA DARASA.

TASWIRA IMEANZISHA MRADI WA KILIMO CHA MBOGA KWA NJIA YA MATUMIZI YA MBOLEA YA ASILI NA KUPUNGUZA KIWANGO AU KUTOKUTUMIA VIUATILIFU VYENYE SUMU.

LENGO NI KUWAJENGEA UWEZO WANACHAMA WA ASASI KATIKA MPANGO WEZESHI WA AWALI KUELEKEA KATIKA MPANGO WEZESHI JAMII.

MRADI HUO UNAHUSISHA MBOGA ZIFUATAZO MCHICHA WA MBEGU ZA ASILI NA MBEGU ZA LISHE, BAMIA, CHINESE SPENACH, VITUNGUU, PILI PILI HOHO, PILI PILI KALI, NYANYA CHUNGU. MATARAJIO NI KUONGEZA KIWANGO CHA UZALISHAJI KWA KUWASHIRIKISHA WANA JAMII WA KATA YA ZINGA NA KATA ZA JIRANI.

MATARIJIO NA LENGO LA MRADI NI KUHUDUMIA UPATIKANAJI WA MBOGA ZA UHAKIKA KWA AJILI YA MATUMIZI YA WANANCHI WA KATA YA ZINGA LAKINI ZAIDI NI KUONA KUWA SHIRIKA LINATAKA KUTUMIA FURSA YA UWEPO WA SOKO LA SAEMAUL ILI KUKIDHI KIWANGO CHA USAMBAZAJI WA MBOGA NA KUWAVUTIA WATEJA WENGINE TOKA KWA JAMII NJE YA ZINGA.