Injira
Tanzania Albino Society Kinondoni District

Tanzania Albino Society Kinondoni District

Kinondoni-magomeni kondoa mkabala na DDC bar, Tanzania

Kuhudumia maalibino Tanzania na kutetea haki zao za msingi bila kujali jinsia wala kabila.
Amakuru agezweho
Tanzania Albino Society Kinondoni District yashyizeho Amakuru agezweho.
YAH KUTOA SHUKRANI KUBWA KWA UONGOZI WA CHUO KIKU HURIA Ndugu zetu wa Tanzania sisi viogozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni tunapenda kutoa shukrani kubwa kwa mkuu wa chuo kikuu huria yeye pamoja na ungozi mzima wa chuo kwa kutoa ufadhili wa masomo ya cnmputer kwa viongo na wana chama wa chama cha albinn wilaya ya kinondoni na... Soma ibindi
6 Ukwakira, 2012

8 Nzeli, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District yashyizeho Amakuru agezweho.
JE ULEMAVU WA NGOZI NI NINI ?. Ulemavu wa ngoz ni hali isiyoambukiza inayotokana na vinasaba vya kurithi na hutokea dunia nzima. Wote Baba na Mama wanapaswa kuwa na vinasaba hivyo kwa mtoto kuzaliwa na hali hiyo. ulemavu wa ngozi ni matokeo ya ukosefu wa rangi kwenye nywele, ngozi na macho ambao vile vile unasababisha uoni hafifu na kudhurika... Soma ibindi
11 Kanama, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District yongeyeho 2 Amakuru agezweho.
uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe... Soma ibindi
2 Kanama, 2012
Tanzania Albino Society Kinondoni District yashyizeho Amakuru agezweho.
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI UNATOA SALAM ZAPOLE KWA NDUGU ZETU. WATANZANIA WENZETU WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI YA MELI NA KUMUOMBA MUNGU AWASAIDIE WALIOPO HOSPITALI WAWEZE KUPONA KWA HARAKA AMEN .
22 Nyakanga, 2012
Ibyiciro
Aho uherereye
Kinondoni-magomeni kondoa mkabala na DDC bar, Dar es Salaam, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye