Log in
Tanzania Albino Society Kinondoni District

Tanzania Albino Society Kinondoni District

Kinondoni-magomeni kondoa mkabala na DDC bar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
YAH KUTOA SHUKRANI KUBWA KWA UONGOZI WA CHUO KIKU HURIA Ndugu zetu wa Tanzania sisi viogozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni tunapenda kutoa shukrani kubwa kwa mkuu wa chuo kikuu huria yeye pamoja na ungozi mzima wa chuo kwa kutoa ufadhili wa masomo ya cnmputer kwa viongo na wana chama wa chama cha albinn wilaya ya kinondoni na temeke. Kwani hii nijisi inavyo onesha vile wanavyo tujali na kutupenda sisi watu wenye ulemavu wa ngonzi [ ALBINO ] . Pia tunaomba uwe mfano wa kuigwa kwa jamii, na taasisì
YAH KUTOA SHUKRANI KUBWA KWA UONGOZI WA CHUO KIKU HURIA Ndugu zetu wa Tanzania sisi viogozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni tunapenda kutoa shukrani kubwa kwa mkuu wa chuo kikuu huria yeye pamoja na ungozi mzima wa chuo kwa kutoa ufadhili wa masomo ya cnmputer kwa viongo na wana chama wa chama cha albinn wilaya ya kinondoni na temeke. Kwani hii nijisi inavyo onesha vile wanavyo tujali na kutupenda sisi watu wenye ulemavu wa ngonzi [ ALBINO ] . Pia tunaomba uwe mfano wa kuigwa kwa jamii, na TASISI zawatu bifs nazo zitusaidie
JE ULEMAVU WA NGOZI NI NINI ?. Ulemavu wa ngoz ni hali isiyoambukiza inayotokana na vinasaba vya kurithi na hutokea dunia nzima. Wote Baba na Mama wanapaswa kuwa na vinasaba hivyo kwa mtoto kuzaliwa na hali hiyo. ulemavu wa ngozi ni matokeo ya ukosefu wa rangi kwenye nywele, ngozi na macho ambao vile vile unasababisha uoni hafifu na kudhurika kwa uraisi na mionzi ya jua na mwanga mkal. Atimae kusababisha salatani ya ngozi [ kansa].

large.jpg

uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe kuwawezesha watoto hawa kupata elimu. kwa kuwa chama chenyewe hakina uwezo wa kuwasomesha kwakuwa hakina chanzo chochote cha mapato. hivyo basi tunaomba taasi za dini,watu binafsi,mashirika binafsi na serikali kukiwezesha chama ili kiweze kusaidia watoto hawa. ikiwemo kuwalipia ada pamoja uniform na mahitaji muhimu ya shule hawa ni baadhi ya wanafunzi na kwa atakaye penda kuja kuwaona anaweza kufika katika ofisi yetu iliopo magomeni kondoa inatazamana na DDC MAGOMENI. waweza wasilisha mchango wako  katika account yetu ya benki acc "2052301322" yenye jina la "chama cha albino wilaya kinondoni" tawi la magomeni. KWA MAWASILIANO UNAWEZA PIGA SIMU NAMBA +255719169601 AU +255719292006. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI TUKIWA NA MATUMAINI KWAMBA TUTASAIDIWA.

          ASANTENI MUNGU AWABARIKI

            WENU KATIKA UTETEZI WA ALBINO

                   LEONARD EPIMAKI KIDOLE

                       KATIBU WILAYA.

UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI UNATOA SALAM ZAPOLE KWA NDUGU ZETU. WATANZANIA WENZETU WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI YA MELI NA KUMUOMBA MUNGU AWASAIDIE WALIOPO HOSPITALI WAWEZE KUPONA KWA HARAKA AMEN .
UONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO WILAYA KINONDONI UNAOMBA SERIKALI IENDELEE KUKEMEA SWALA LA MAUAJI YA ALBINO YA NAYO ENDELEA KUTOKEA NCHINI TUNAWAMBA WABUNGE, MAWAZIRI, VIONGOZI WA WADINI NA TAASISI ZAKUTETEA HAKI ZA BINAADAMU.
Ndugu Hussen wa envaya ametutembele kuona shughuli zetu

MGAO WA MSAADA WA NGUO TULIFADHILIWA NA TCRS