NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA YATOA USHUHUDA KWA MWAKILISHI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY(fcs) NDUGU,RICHARD KANTUNKA(FOUNDATION REP/JOURNALIST-RFA-KIGOMA.
Katika picha ni Richard Kantunka na Walengwa wa Mradi wa Kujengea Uwezo katika OFISI ya NYDT-tarehe 06.10.2012.
Ndugu Katunka alikaliliwa akisema,Namba ya Mawasiliano yenu ilikuwa imekosewa kwa Kuandikwa-)0765794996 badala ya 0765794896.
- alisema kutokana na namba kukosewa Walishidwa kumpata mtu mwafaka wa NYDT-badala yake alipokea mtu kutoka TABORA ambaye alimjibu majibu mabaya.
- Baada ya KUona OFISI,WATENDAJI na Walengwa wa NYDT-alishuhudia na kusema asasi ni nzuri,iko wazi,makini na Madhali yake yanaoyesha Uendelevu.
- Picha na matukio hapa chini.
7 Oktoba, 2012