Fungua
MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

TEMEKE,DSM,Tanzania

1.0:Utangulizi

Huu ni mpango mkakati wa shirika lisilo la kiserekali linalofanya shughuli zake kwa kufuata utaratibu wa kiutendaji.Shirika hili linajulikana kama MWANAMBOGO UNITED YOUTH DEVELOPMENT(MUYODE).MUYODE imeanza kutambulika na jamii kwa hasa kutokana na utendaji wa kazi mara tu yulivyopata usajiri.MUYODE inalengo la kuunga juhudi za serekali na za makundi mema yanayounga mkono juhudi za kupambana na matatizo yanayoikabili jamii na Taifa kwa ujumla.Katika kupambana na matatizo . MUYODE imeonelea kuanza kutafuta ufumbuzi ambao unaweza kutatua matatizo kwa kuanzia “DAWA ZA KULEVYA NA UKIMWI”Tunania ya kurudisha hisia na mtazamo wajamii na hata kuona mabaliko ambayo hayakuwepo kwa muda mrefu.

MUYODE imeona umuhimu wa kujikiti katika kupambana na athari ya dawa za kulevya na UKIMWI.Katika kuendeleza juhudi hizi pia MUYODE imejiwekea mpango mkakati wa miaka mitatu.Katika kupambana na athari ya dawa za kulevya na UKIMWI.Hii ni kwa utekelezaji wa muda wa miaka mitatu .Mpango huu utasaidia shirika katika utekelezaji wa mkakati wake mwaka hadi mwaka kwa kuangalia vipaumbele mahitaji ya rasilimali na vyanzo vya fedha.Mpango huu wa MUYODE inaamini itasaidia na kusafisha na kuondoa ukungu uliotanda kwa jamii, Taifa kwa ujumla na baadaye kuonekana mafanikio ya mpango huu na shughuli zake.

 

Ili kuendana na kufikia lengo nyaraka za utendaji kazi wa mpango wa MUYODE. Watoa ushauri nasaha watawajibika kutoa maana halisi ,taarifa toka viongozi wa MUYODE na wadau wakuu na hata kufanya mjadala na upembuzi yakinifu kwa kufanywa ndani ya mihimili mitano:-

        I.            Upembuzi wa mazingira ya MUYODE umekuwa unandeshwa,utamaduni,wadau,kujenga shirika na vyanzo na matarajio.

      II.            Miundo na mifumo ya upembuzi wa uimara,udhaifu katika upunguzaji,fursa za kupata mabadiliko chanya na Vitisho (vikwazo ambavyo vitahitajika kuviepuka)

    III.            Kutumia nyaraka muhimu za Taifa zinazoonyesha taarifa tathmini na hali halisi ya tatizo lengwa na kupunguza athari na matumizi ya dawa za kulevya na UKIMWI,sera zake na sera ya Taifa juu ya vijana.

    IV.            Kuelezea na kuchambua hatua za kuendana na mpango,tathmini,matumizi na utendaji.

      V.            Mipango na upatikanaji wa rasilimli kwa ajili ya mkakati huu na shughuli zake.

Kutokana na chambuzi hali halisi ya mazingira mpango mkakati utaendana kulingana na utamaduni,mazingira,wadau na uwezo wa washirika.Ufuatao ni muundo au jedwali la (SWOT Analysis) ni pamoja na uimara na udhaifu ndani ya shirika ,fursa na vitisho vya nje ya shirika :-

 

2.1 JEDWALI LA 1: (SWOT Analysis)

UIMARA(Strengths)

 

FURSA (Opportunity)

Usajili wa NGO wenye kuelezea /kutafsiri Dira,Dhamira na vpaumbele.

Maridhiano na serikali katika kuviunga mkono vikundi vya vijana (NGOs)

Moyo wa kujitolea katika utoaji wa huduma za kijamii.

Ushirikiano na Utendaji wa kazi nzuri na taarifa toka katika mashirika tendaji

Kamati zenye bidii na mbinu za kiutendaji na kujitolea.

Mawasiliano na kubadilishana uzoefu kati ya Asasi na Asasi nyingine kupata wataalam.

Udhibiti wa Fedha na Adhabu kwa kufuata kanuni ,maadili na mgawanyo wa majukumu.

Kujengena uwezo na masirika wenza.

Uwazi wa uongozi katika utendaji na kutoa taarifa kwa ngazi zote.

Ushirikiano wa jamii,mahusiano na wenza na ushirikiano mzuri na wafadhili.

 

 

UDHAIFU(Weaknesses)

 

VITISHO(Risk)

Uhaba wa vitendea kazi na rasilimali kwa ajili ya kutekeleza .

Wanaojitolea kupunguza kiwango cha utoaji na masharti magumu na mengi

Uhaba wa wataalamu wakutosha katika ufikishaji elimu kwa makundi ya kijamii.

Serikali haitufiki katika ushirikishwa wa utengenezaji Sera na kupata wataalamu.

Kiasi kinachoaptikana hakikidhi mahitaji kwa kasi kikubwa.

 

Mifumuko ya bei kwa kila muda na kukosekana kwa udhibiti wa hili.

 

3.0 UTAMBULISHO WA SHIRIKA:-

3.1 Taarifa za kina;                                                                                                                                                                        

       Jina la shirika: MWANAMBOGO UNITED YOUTH DEVELOPMENT (MUYODE)

     Contact address: P.O.BOX 104623-TMK-DAR-ES-SALAAM.TANZANIA

                                 +255 787 620 437, +255 713 182 552      

                                 mwanambogounited@yahoo.com

AINA YA SHIRIKA :-   Ni shirika lisilo la kiserikali na linajulikana kama ilvyoanishwa hapo juu na limepata usajili wake January.02.2008                  kwa sheria No.ACT No.24 of 2002 na usajili No. ooNGO/O337

DHAMIRA :-( MANDATE) kuwa ni matumaini wa jamii kuona imepata mkombozi zaidi kwa kuongeza juhudi za kiserikali

HUDUMA YA KIPAUMBELE : kupambana na athari ya dawa za kulevya na ukimwi

MAENEO YA KIJIOGRAFIA: Dar-es-salaam Temeke,Kata ya Mtoni Mtaa wa Mtoni.

3.2 Wasifu wa Shirika:-

Shirika hili limekuwa likipambana na matatizo mbalimbali ya kijamii na ya maendeleo ya jami.i Hata hivyo inafanya kazi za kuitolea na imepata kujengewa uwezo na shirika la THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY(FCS).Na hatimaye kuwa na uelewa wa kuendesha shirika kwa ubunifu naumakini mkubwa katika utoaji huduma.Pia kuendesha shughuli zake kwa kufuata mikakati iliojiwekea tangu ipate usajiriwake 2008 hasa kwenye maeneo ya vijana na jamii kwa ujumla.

3.3 DIRA(VISION) Kuwa na jamii iliostawi na isiotumia dawa za kulevya.

3.4 Dhamira(mission statement) Kupunguza athari ya matumizi ya dawa za kulevya na UKIMWI.

3.5 Uzoefu wa MUYODE

Tangu shirika lipate usajiri wake na kuwa kisheria limefanikiwa kupata fursa mbalimbali na kupata uzoefu wa uendeshaji wake.MUYODE inatoa huduma za kijamii kwa kufuata misingi ya kiuendeshaji wa shirika la kutoa huduma kwa umakini na kitaalam.Uzoefu umetokana na fursa kupata semina na kushirikiana na wataalamu kwa kuboresha huduma za kiutendaji.

3.6 Muundo wa Shirika

MKUTANO MKUU WA MWAKA

    

 

KAMATI KUU YA UTENDAJI

 

VIONGOZI WA IDARA

JAMII/WALENGWA


                                                                                                                         UPATIKANAJI WA FEDHA    

MHASIBU

                    

KATIBU MKUU

                                                                      

                                                                                                

KAMATI YA MIRADI

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

3.8 Kamati kuu Tendaji

Hii ni mifumo/ufunguo wa utendaji kazi kutegemea maswala ya kisheria,sera mpango mkakati wa MUYODE n.k .Kwakuwa pia mshauri wa katibu/mtendaji mkuu na hata kuwa chombo ambacho kinatambua mgawanyo wa majukumu kwakufuata Program.

Katibu Mtendaji

Ni mwakilishi na afisa mtendaji wa shirika.Majukumu na kuongeza utekelezaji wa Program ikiambatana na wasaidizi katika mambo ya ushauri,Afisa miradi,uharibu na watendaji wengine .Pia mtendaji huyu ni mtu wa kuwasiliana kati ya shirika na wadhamini/wafadhili na wadau wa maendeleo.

Timu ya utoaji huduma

Hii ni timu ya wanachama .Mwenyekiti wake anakuwa katibu mtendaji.Katibu anaweza kuongoza,kufanya yanayowezekana katika mgawanyo wa shughuli za kila siku ili kuleta matokeo tarajiwa (mazuri)

Mshauri wa timu

Kutoa ushauri katika utendaji na kuonaumuhimu wa kukutana na kutoa huduma kwa namna ya kuboresha huduma kwa kuwakilisha mkutano.

Afisa Miradi

Kusimamia miradi kuwasilisha taarifa kwa katibu mtendaji na wengine.Kuongoza na kukagua utendaji mzuri wa miradi kwa muundo ulio na uhusiano,ufanisi na matokeo halisi.

Mwekahazina

Kupanga,kusimamia na kuongoza maswala ya fedha ni jukumu lake kuandaa taarifa za fedha na kumshauri katibu mkuu kuhusu huduma ya fedha,sera na mikataba.Pia ni majukumu yake kutenda kazi kwa kutumia wanachama .

3.9 Mpango wa Vitendo

 

4.0 Mipango ya kutekeleza (Utangulizi)

Mipango ni hatua/mfumo ambao huleta matokeo au zao la mpango kulingana na nyaraka.Ni zao la mgawanyo wa majukumu na utendaji ambao upatikanaji wa vipaumbele katika kipindi cha utoaji wa majambo na baadaye kupanga kulingana na mazingira.Mpango mkakati pia huangalia uwezo na uwepo wa washiriki wa vipi,lini,na wapi inataka kushindana,kupambana na nini na nani anataka kupanga naye na kwa sababu gani.

Kwa maana nyingine ni mipango ya kusaidia jambo kulingana na hali inayofaa kupambana na mazingira.Inaonyesha faida baada ya mradi kupatikana nafasi/fursa na kukosekana mambo muhimu na kuhitajika kupatikana au kupungua kwa vigezo.

Mpango mkakati wa MUYODE utahusisha namna gani ya kupunguza matumizi ya Dawa za kulevya,kuwepokwa mbinu mahususi kwa kuangalia utendaji na Uimara wa MUYODE pia udhaifu ndani,fursa na vitisho vya nje ya shirika.Mipango lazima ionyeshe matokeo,yatatokana kwa namna gani.

Katika kuhakikisha mpango wa kupunguza matumizi ya ya dawa za kulevya .Uhusiano huu utaendana na washikadau,washiriki kupitia program na miradi inayotekelezeka.

Hatua Sita za kutekelezaji njia hii ni :-

v  Kutoa/kupanga Vipaumbele(setting goals)

v  Kupanga matokeo tarajiwa (setting out puts)

v  Kupanga shughuli /kazi(setting activities)

v  Kupanga rasilimali (setting inputs)

v  Kupanga matokeo(verifiable indicators)

v  Kupanga namna ya upimaji (means of verification)

 

Vipaumbele vya mradi

Vipaumbele vya mpango mkakati hu ni kurejea katika program na sababu za kuwepo kwa mradi.Hii inaambatana na shughuli na inasaidia na kutoa juhudi za kuelekea au kupunguza tatizo husika. Washikadau wote watakuwa tayari katika kuhakikisha mipango inaenda kwa namna ilivyopangwa

Ifuatayo ni mipango iliowekewa vipaumbele vya kutatua tatizo la matumizi ya dawa za kulevya kwa miaka mitatu.

 1. Kutoa elimu ya sheria ya HIV/UKIMWI
 2. Kutoa elimu ya athari ya dawa za kulevya
 3. Kutoa elimu ya sheria ya kupambana na dawa za kulevya
 4. Kubuni Ajira kwa waathirika wa dawa za kulevya
 5. Kutoa elimu ya kutowanyanyapaa/kuwanyanyasa watumiaji wa dawa za kulevya
 6. Kutoa mafunzo ya stadi za maisha
 7. Kutoa elimu ya utawala bora.
 8. Kutoa elimu ya madhara ya wazazi kutengana na kutelekeza familia
 9. kupunguza kuzaa bila malengo
 10. Elimu ya maadili na utumiaji mzuri wa utandawazi
 11. Kuwatafutia tiba waathirika wa dawa za kulevya.
 12. Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa waathirika wa Dawa za kulevya
 13. Kuwaunganisha waathirika wa dawa za kulevya katika kuwakomboa
 14. Waathirika/watumiaji wa Dawa za kulevya kushirikishwa katika vyombo vya maamuzi na makundi ya utekelezaji wa maazimio.

 

Kupangilia matokeo

Matokeo yanatokana na baada ya shughuli za mipango kutokana na mpangilio wa vipaumbele.Matokeo yataonyesha utofauti kabla na baada ya hatua nzima kufanyika na vipaaumbele vinaweza kuwa na rasilimali tofauti.

Kupangilia shughuli

Matokeo ni kazi maalum ambayo inatendwa kwa kutoa zao la tokeo la mradi kupitia ufanisi wa kutumia rasilimali.Matokeo yatazungusha katika namna mbalimbali ya namba nyingi za shughuli katika hatua hii mpango utakuwa katika namna ya shughuli ambazo zitatendwa na kuleta matokeo tarajiwa.

Upangiliaji wa rasilimali

Shughuli inalenga kutoa zao la matokeo hitajiwa vyanzo vya rasilimali vipo katika watu,vifaa,muda,na  fedha.Kwa maana hii uwingi wa mpango vyanzo vya rasilimali kuelezea msimamo wa mpango unaowekana shughuli zake kutekelezeka tu.

Katika hili mpango wa MUYODE nguvu zake umetengeewa katika uamuzi, kuelekea kutumia vyanzo toka katika vyanzo tofauti kila shughuli.Hii inaonyesha vyanzo na kuorodhesha.

Kupangilia Viashiria Vipimo

Kwasababu hii ya ufuatiliaji na tathmini wa mpango mkakati na Vipimo vya viashiria ambavyo ni vipimo vya kufanikiwa mpango wa vipaumbele na matokeo   utakuwa umewekwa.Pia ni wasifu upi utalenga na namna zipi na lini kwa maana nyingine Viashiria huonyesha kiwango/viwango na kuheshimu viwango vizuri kama muda utaonyesha matokeo mapya.

Kupangilia namna ya kupima

Baada ya kupitia vipimo vya viashiria vile ambavyo inahusisha ufuataliaji na tathmini utaamua kujua maana ya vipimo.Itarejea yale yanayowezekana na yaliyopo kwa kuonyesha taarifa ni namna gani viashiria vinaendana na vielelezo. Jedwali litaonyesha mchnganuo wa mpango wa utatuzi.

4.2 TATHMINI NA UFUATILIAJI WA MPANGO

I:Mwanzo wa mradi wa makadirio:-

Mahojiano/ukaguzi utafanyika kwanza kabla maamuzi ya mradi na kutoa tofauti kutoka program.

II:Muda/kipindi cha makadirio:-

Uwajibikaji wa ndani na ubora utaonekana kipindi cha mpango mkakati.Hili ni kadirio kuhakikisha kusonga ili kuboresha matokeo. Hii itakuwa inatafanyika kupitia ufuatiliaji huu:-

 • Regular field visit
 • Mkutano wa mwezi kwa wanaojitolea na watekelezaji
 • Timu ya ushindani robo mwaka (mkutano)
 • Mkutano wa timu ya ushindani wa majaribio wa robo mwaka
 • Makadirio kwa kukagua baada ya kila shughuli.
 • Taarifa ya mwenendo

UKAGUZI WA KATI:-

Hii itakuwa baada ya miezi 18 ya utekelezaji wa jambo kufanyika kwa marejeo ya hatua na na kufanya marekebisho kulingana na kuhitajika .

UKAGUZI WA MWISHO:-

Hii itakuwa ni ukaguzi na uwajibikaji .Dhumuni ni kuhoji /kukagua kwenda mbele kwenye mipango ya ilioleta matokeo na kupeleleza kuhusu masomo yaliyosomwa.

 

 

 

 

 

 

4.3 JEDWALI LA MPANGO MKAKATI

JINA LA PROGRAM: DAWA ZA KULEVYA

KIPAUMBELE:-KUPAMBANA NA ATHARI YA DAWA ZA KULEVYA & HIV/UKIMWI

   MATOKEO

   (OUTPUTS)

       SHUGHULI

       (ACTIVITIES)

     RASILIMALI

     (INPUTS)

VIASHIRIA VYA MATOKEO

(INDICATOR OF OUTPUTS)

   NAMNA YA KUPIMA

   (MEANS OF               VERIFICATION)

 

 

 

 

 

1.0 KUPUNGUZA IDADI YA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA

 

 

 

1.1 Utoaji wa elimu ya sheria ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI ya mwaka 2008 na kupambana na athar iya Dawa za Kulevya

 

 

 

 

 

 

 

*MUYODE

*Wawezeshaji

*Fedha

*Wadau

*mahitaji mengine

 

 

*Kuwepo kwa mapendekezo yamabore

sho ya sheria ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI pamoja na Dawa za Kulevya

*Kuundwa kwa kamati za huduma   ya ustawi wa jamii

*kuwepo kwa mabaraza ya usuluhishi

*Kupungua kwa watumiaji/waathirika wa Dawa za kulevya na HIV&UKIMWI

 

*Takwimu za waathirika kupungua

*kuwepo kwa Taarifa za mafunzo ya walengwa

*Sheria kuanza kufanya kazi na

 

1.2 Kutoa elimu ya ustawi wa jamii kwa watumiaji wa Dawa za kulevya na wasiotumia.

 

MUYODE

*Mtoa mada

*ukumbi

*Madaftari

*rasilmali nyingine

*Fedha

*Kuwepo kwa ufahamu wa athari ya   Dawa za kulevya

*Kuongezeka kwa udhibiti na uteketezaji wa mazingira ya kutumia dawa za kulevya

*Namba kubwa ya waathirika kupunguza   matumizi ya Dawa za kulevya

*Matukio ya uhalifu kupungua

 

1.3 Ufafanuzi wa sheria ya kuzuia na kupambana na Dawa za kulevya

 

 

 

*MUYODE

*Wawezeshaji

*Fedha

*rasllimali nyingine

 

*Kuwepo kwa ufahamu wa sheria ya kupambana na dawa za kulevya

*Kupendekeza baadhi ya vipengele vya sheria kurekebishwa na kutowalinda waingizaji na wasambazaji.

 

*Namba kubwa ya wanajamii wanashirikiana na vyombo vya udhibiti

*Taarifaya matukio

 

 

1.4 Kubuni mbinu za kupata ajira kwa waathirika wa dawa za kulevya

*MUYODE

*Wawezeshaji

*maeneo

*Fedha

*Walenngwa

* Kuwepo kwa makundi ya ufundi stadi

*Kuanzishwa kwa makundi ya kuzalisha mali

*Walengwa/waathirika kupata ajira katika mashirika na makampuni mbalimbali

 

 

*Namba ya waathirika wamekuwa raia wema na kuajiriwa

 

*Taarifa ya mwenendo wao katika jamii

 

 

1.5 Kutoa elimu ya unyanyapaa/unyanyasaji kwa waathirika.

*Walengwa

*Wawezeshaji

*Wadau

*vipeperushi

*Ukumbi

*Kuwepo kwa uelewa juu madhara ya unyanyasaji/ unyanyapaa kwa kwa kundi lolote

*Waathirika wanajisikia kawaida

* kupungua kwa matukio ya unyanyasaji/ unyanyapaa

*Kuundwa kwa mabaraza ya usuluhishi kwa ngazi ya mtaa/ kata.

*Namba ya waathirika kushirikishwa katika utatuzi wa majambo

*Sehemu kubwa ya jamii   wameacha dhana mbovu ya awali

*Ushirikiano umeongezeka kwa makundi yote

 

1.6 Kutoa elimu ya stadi za maisha kwa makundi lengwa

*Mwezeshaji

*Wadau

*Fedha

*Vitini

*Walengwa

*Walengwa wanaeewa elimu ya stadi za maisha

*Idadi ya makundi kukufahamu mabadiliko yao   na kupambana nayo

*% ya watumiaji wa dawa za kulevya wanepungua

*Namba ya patikanaji wa wataalamu wa stadiza maisha umeongezeka.

 

1.7 Kuhamasisha na kuanzisha vilabu mbalimbali vya michezo(Sanaa na n.k)

*Wawezeshaji

*Vifaa vya michezo

*Watoa huduma

Fedha

*Vilabu vya michezo kuanzishwa

*Kufanya vizuri kwa vilabu

*vilabu vya shule,vyuo kuwepo.

*Kuwepo kwa repoti ya vilabu vilivyopo

*Matukio ya kimichezo

 

1.8 Kuwajenge Uwezo waathirika wa dawa za kulevya viongozi wa vilabu,viongozi wa vijiwe,na mitaa na makundi ya sanaa

*Usafiri walengwa

*Mawasiliano

*Fedha

*Wawezeshaji

*Kuongezeka kwa uwezo wa viongozi kwa ngazi zote

*Kuwepo kwa utendaji sahihi wa majambo. na *kuelewa namna ya kupambana kiuhakika

*Taaarifa ya mafunzo

*Taarifa ya utendAJI

 

1.9 kUwezeshwa kwa vijana kwa kuzingatia Gender na ujinsia

*Watu wa kujitolea

*Wawezeshaji

*Fedha

*kuwepo kwa watu waliopata kuwezeshwa kwa kuzingatia jinsia

*Taarifa za mafunzo

*Taarifa ya mabadiliko

 

1.10 Vyombo vya habari kuwabeba vijana kwa kuonyeshwa vipaji vyao

*Vyombo vya habari

*MUYODE

*Fedha

*Kuwepo kwa taarifa mbalimbali za kazi na utayari wa vijana

*Uibuaji wa vipaji

*Taarifa za vyombo vya habari ya matoleo ya vijana

 

1.11 Kuanzisha mijadala kwa Taasisi zinazotoa huduma za kupambana na Dawaza kulevya.

*MUYODE

*WADAU

*MEADIA

*FEDHA

*USAFIRI

*UKUMBI

*VITINI

*WAWEZESHAJI

*Kuwepo kwa Idadiza Taasisi zinazofanya mikakati ya kupambana na Dawa za kulevya

*Kuongeka kwa ushirikiano wa kudumu kati Taasisi moja hadi nyingine

*Kuwepo kwa ushirikiano kati ya vyombo vya habari na Taasisi.

*Taarifa ya uendeshaji wa mijadala

*Taarifa ya vyombo vya habari

*kuongezeka kwa uelewa wa Taasisi zinazoshirikiana

 

1.12 Kutoa elimu ya utawala bora

*wizara husika

*Wadau

*waathirka

*fedha

*Ukumbi

*Watumiaji na wasiotumia wanaelewa   dhana ya utawala bora

*% ya raia kujua umuhimu wa kuzuia na kudhibiti

*Taarifa ya mafunzo toka

*Nambaya watumiaji kupungua kwa kujua sheria

 

1.13 Utoaji wa elimu ya madhara ya familia kutengana

 

*MUYODE

*WAWEZESHAJI

*WADAU

*FEDHA

*Kuwepo kwa uelewa wa madhara ya wazazi kuachana na pamoja na kuzaaa bilamipango

* kutelekeza watoto na hatimaye watoto kuingia kwenye makundi hatari

 

*Taarifa ya mafunzo na

*Taarifa ya Wadau wa sehemu husika

% ya watoto wa mitaani kupungua

*% ya watumiaji wa dawa za kulevya imepungua  

 

1.14 kuongeza utayari wa vijana kusiriki katika sera na mipango ya kupunguza athari ya Dawa za kulevya

*wizara

*Wadau

*Fedha

*ukumbi

*kuwepo kwa utekelezaji wa sera za vijana na makundi mengine

*Kuongezeka kwa makundi ya kuzuia na kudhibiti athari ya Dawa za kulevya

*Taarifa ya utekelezaji

*% ya watumiaji wa dawa za kulevya imepungua  

 

1.15 kuwapa tiba waathirika wa dawa za kulevya na kuwawezesha

*Madaktari

*walengwa

*Fedha

*Kituo

 

 

 

 

 

 

 

 

 

            

4.5 UPATIKANAJI WA RASILIMALI

 

S/N

 

KIPAUMBELE CHA MPANGO MKAKATI

 

   RASILIMALI ZINAZOHITAJIKA

 

CHANZO CHA        RASILIMALI

 

MBINU ZA KUPATA RASILIMALI

TAREHE ZA MWISHO ZA KUPATA RASILIMALI

1.

Utoaji wa elimu ya sheria ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI ya mwaka 2008 na kupambana na athar iya Dawa za Kulevya

 

*Pesa

*Usafiri

*Wadau

*Rasilimali watu

*Ukumbi

*shajara

*Wawezeshaji

*Asasi za ndani na nje *Wadhamini/Wahisani wa kitaifa na kimataifa

*Harambee

*Barua

*Miradi

 

 

30 SEPTEMBER ya mwaka

2.

Kutoa elimu ya ustawi wa jamii kwa watumiaji wa Dawa za kulevya na wasiotumia.

 

*Mtoa mada

*Ukumbi

*Shajara

*Rasilimali watu

*Wadau

*Fedha

*Kuwepo kwa asasi za ndani na nje.Kitaifa na Kimataifa

*Wadau wa afya na washauri toka manispaa

*Harambee

*Wahisani&Wafadhili

*Wadhamini

*Barua

30 MAY ya kila mwaka

3.

Ufafanuzi wa sheria ya kuzuia na kupambana na Dawa za kulevya

 

*MUYODE

*Wawezeshaji

*Fedha

*rasllimali watu

*Wizara husika

 

*Wahisani, Wadhamini na wafadhili wa ndani na nje ya nchi

 

*Barua

*Miradi

*Harambee

*Miradi

*Michango kwa njia ya michezo

30. MAY ya mwaka

4

Kubuni mbinu za kupata ajira kwa waathirka wa Dawa za Kulevya

*Wadau

*Fedha

*Wawezeshaji

*Wizara husika

*mashirika na makampuni

*Wizara ya husika

*Makampuni na mashirika

*Mabalozi wan chi wahisani

*Barua

*Wadhamini

*Harambee

*Miradi

30. NOVEMBER ya mwaka

5.

Kutoa elimu ya unyanyapaa/unyanyasaji wa kijinsia na watumiaji wa Dawa za kulevya

*Walengwa

*Wawezeshaji

*Wadau

*vipeperushi

 

*Mashirika ya ndani na nje ya nchi

*Wadau

*Wizara husika

*Barua

*Michango kwa njia ya michezo

*Mahoteli

*Wafanyabiashara

*Miradi

*Makampuni

30 JUNE ya mwaka

 

 

 

    

       “               “

6.

Kutoa elimu ya stadi za maisha kwa makundi lengwa

*Wadau

*Wawezeshaji

*Wadau

*shajara

*Walengwa

*mashirika yanayohusika

*wahisani na wafadhili wa nje na ndani

*Harambee

*Maradi

*Barua

*michezo ya watu maarufu

30 .NOVEMBER ya mwaka

7.

Kuhamasisha na kuanzisha vilabu mbalimbali vya michezo(Sanaa na n.k)

*Manispaa husika

*Wadau

*walengwa

*Shaajara

*Fedha

*Taasisi ya ndani na nje ya (Kitaifa na Kimataifa)

*Mabalozi na makampuni mbalimbali.

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

*30.JANUARY.ya mwaka

8.

Kuwajenge Uwezo waathirika wa dawa za kulevya viongozi wa vilabu,viongozi wa vijiwe,na mitaa na makundiya sanaa

*Wadau

*walengwa

*Shaajara

*Fedha

*Wizara

*Taasisi ya ndani na nje ya (Kitaifa na Kimataifa)

*Mabalozi na makampuni mbalimbali

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

30 .NOVEMBER ya mwaka

9.

kUwezeshwa kwa vijana kwa kuzingatia Gender na ujinsia

*Walengwa

*Wawezeshaji

*Fedha

*Shajara

*Wizara

*Taasisi za Fedha

*Taasisi ya ndani na nje ya (Kitaifa na Kimataifa)

*Mabalozi na makampuni mbalimbali

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

27.NOVEMBER ya mwaka

10.

Vyombo vya habari kuwabeba vijana kwa kuonyeshwa vipaji vyao

*Vyombo vya habari

*MUYODE

*Fedha

*Shajara

*Wizara

*Taasisi ya ndani na nje ya (Kitaifa na Kimataifa)

*Mabalozi na makampuni mbalimbali

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

30 .NOVEMBER ya mwaka

11.

Kuanzisha mijadala kwa Taasisi zinazotoa huduma za kupambana na Dawaza kulevya.

*muyode

*wadau

*meadia

*fedha

*usafiri

*ukumbi

*vitini

*wawezeshaji

*Taasisi ya ndani na nje ya (Kitaifa na Kimataifa)

*Mabalozi na makampuni mbalimbali

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

30 JUNE ya mwaka

 

 

     “             “

12.

Kutolewa elimu ya utawala bora

*wizara husika

*Wadau

*waathirka

*fedha

*Ukumbi

*Wizara ya husika

*Makampuni na mashirika

*Mabalozi wan chi wahisani

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

MARCH 30 ya kila mwaka

13.

Utoaji wa elimu ya madhara ya familia kutengana

*MUYODE

*WAWEZESHAJI

*WADAU

*FEDHA

*Wizara ya husika

*Makampuni na mashirika

*Mabalozi wan chi wahisani

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

JULY 30 ya mwaka

14.

kuongeza utayari wa vijana kusiriki katika sera na mipango ya kupunguza athari ya Dawa za kulevya

*wizara

*Wadau

*Fedha

*ukumbi

*Wizara ya husika

*Makampuni na mashirika

*Mabalozi wan chi wahisani

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

30.september.ya mwaka

15.

kuwpa tiba waathirika wa dawa za kulevya na kuwawezesha

*Madaktari

*walengwa

*Fedha

*Kituo

*Wizara ya husika

*Makampuni na mashirika

*Mabalozi wan chi wahisani

*Harambee

*Miradi

*Barua

*Wafadhili/wadhamini

30 APRIL ya mwaaka

 

 

 

 

 

MWELA Crashes make a difference in civil society in 2013

 MWELA THEATRE GROUP to recognize the contribution of civil society has decided to volunteer in capacity building organizations and community groups that are created due to the offended or hurt by concerns about themselves in their community. MWELA THEATRE GROUP decided to capacity building organizations and groups because of this group now has been spent by many organizations Caller support of a writing project and resolve disputes that experience for MWELA THEATRE GROUP has seen many conflicts due to such groups or organizations have been set up not realizing why. from a small study of MWELA THEATRE GROUP found that 1) the constitution many These organizations are narrated from the constitution of the organization other thus causing members perceive the implementation of the constitution these 2) The names of the white is a lot in organizations and social groups that have led to the members and beneficiaries failure to mention organizations 3) lack of leading the organization as well as the code of conduct and policies of the organization 4) lack of proper structures and systems of governance and lack of accountability that good leaders in organizations 5) limited ability of executives in organizations 6) no and plan a strategy that guides their activities.

 from these things and many others MWELA THEATRE GROUP decided to capacity-building for these organizations to make a real difference the group makes this project without any sponsor and now has begun to take the dimmer organization ten model having received a conversion desired, then we will continue with this program groups capacity per year this 2013 is MUYODE Dar es Salaam, group settings, group of widows MKURANGA Coast, group living with HIV Lushoto, farmers tea Lushoto, Branch of Elah Vuga Naukala Dima Dar es Salaam, a group of children desert, Grandparents T Dar es Salaam

 we offer an opportunity for donors and various specialists who assist sincerity in social groups, but they failed in one way or another we welcome even those who want to volunteer without cash payments are also welcomed. ELA theater personality believes is better than nothing if you help your brother then helped your family been building an effective group will have built a strong community

 We thank you FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY IN POWER SINCE 2003 built us thank Envaya ALSO WITH THE declaring declare civil society has also been assisting COST WITHOUT OPENING THE WEBSITE ORGANIZATIONS 20 NOW

 Conducted PROJECTS AND LINKING AND PARTNERS

 In 2003 MWELA THEATRE in conjunction with PFG cycled Drug Project a project funded by                The foundion for civil society

 MWELA THEATRE GROUP 2004 in collaboration with the Temeke Municipal Office of the Chief Medical Officer of taking a project conducted infected of HIV from mother to child UNCEF project was funded and managed by the Ministry of Health.

 MWELA THEARE GROUP 2004 in conjunction with education WAMLU cycled carefully Project Citizen project funded by The Foundation for Civil Society

 MWELA THEATRE GROUP 2005 conducted a peer education project and life skills for youth groups project was funded by The Foundation for Civil Society

 In 2006-2007 MWELA THEATRE GROUP in collaboration with the Temeke Municipal cycled project ties tuberculosis infection

 Conducted in 2008-2009 MWELA THEA GROUP project governance household project funded by The Foundation for Civil Society

 In 2009 MWELA THEATRE GROUP in collaboration with the DEA were running project ties HIV and Poverty Project funded by The Foundation for Civil Society

 Conducted in 2010-2011 MWELA  THEATRE GROUP project governance household project funded by the Foundation for Civil socity

 In 2012 MWELA THEATRE GROUP in collaboration with project YOFSAO we drive organizational capacity building project funded by The Foundation for Civil Society


CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA

OBJECTIVES

1.1.1 Support community during disasters and / or emergencies.

1.1.2 Support during the different social and cultural.

1.1.3 Develop a program of formal and informal employment in production and service.

1.1.4 Develop different strategies that can enhance the development of Education among people that come from Lushoto District.

1.1.5 Demonstrate in caring for people infected and affected and AIDS and disability.

1.1.6 To promote employment among youth and men through Agriculture, Husbandry and Trade.

1.1.7 Building relationships and institutions within and outside the country to bring relationships between the relevant parties and institutions.                                                                                                                  1.1.8 Improving storage and display actions in regard to protection of    Environment.

1.1.9 Participation in the design, planning and implementation of various programs National and International.

1.1.10 Encourage communities to join unions Loans Savings and Credit Cooperative ie Society (SACCOS).

01/01/11 Driving conferences, workshops, seminars, discussions and meetings   relating to various aspects of Sport and Development.

1.1.12 To encourage the preservation of the sources of rivers, planting trees and Environmental preservation.

 

1.2 WORK

1.2.1 Encourage the provision of contributions that will enable construction of School: Video Initially, Primary, Secondary, Tertiary, health centers and dispensaries District Lushoto with different parts of the country.                                                                                                                                                                                  1.2.2 Encourage establishment of daycare centers orphans, and

living in high-risk environment and counseling centers

 

        HIV infections.

 

1.2.3 Establishing the Social Fund for supporting Widows, Elderly, Youth and orphans.

1.2.4 Identify and facilitate the implementation of the Training Program                                                                 Youth and Children develop in extending their special gifts   sport.

1.2.5 Communicating with the condition inside and outside organizations in supporting   The purpose and objectives of CHAMAKIVU.

1.2.6 Provide Entrepreneurship Education aimed at improving agriculture, farming,

Business and provision of various services.

1.2.7 Conducting conferences, workshops, seminars, discussions and meetings                                             Progress has different concerns.

1.2.8 Being a Trustee for both targeted members CHAMAKIVU

in facilitation of Credit and / or the provision of credit based on ASSOCIATION procedures.