Log in
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA,Mbozi,Mbeya Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

maisha bora kwa kila mwanajamii

Latest Updates
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT added a News update.
kwa vijana waishio TUNDUMA,tunawatangazia nafasi za kujiunga na asasi yenu ya TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT.Kwa mawasiliano muone mwl. erick mrema wa jk Nyerere secondary
May 2, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT created a Volunteer page.
asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804
May 2, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT added Envaya to its list of Partner Organizations.
April 22, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT created a Projects page.
Kwa sasa asasi ina mkakati a kuanzisha bwawa la kufuga samaki katika maeneo ya kaloleni
April 22, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT created a History page.
TUNDUMA YOUTH GROUP ni umoja ulioanzishwa na vijana wa ishio Tunduma kwa nia kubwa ya kusaidia vijana ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea katika maisha yao baada ya kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali. – malengo ya asasi hii isiyo ya kiserikali ni haya yafuatayo – 1.kutoa elimu juu ya ukimwi na magonjwa... Read more
April 22, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT created a Team page.
Mwenyekiti ERICK MREMA – Katibu :LUGANO MWAKITALIMA – Mtunza fedha:ELIZABERTH NGOYA – Wajumbe:BURCHARD KISHAMBA – :PATRICK GUMBO – :SHABANI MRISHO
April 22, 2012
Sectors
Location
TUNDUMA,MBEYA, Mbeya, Tanzania
See nearby organizations
MATUKIO