Fungua
Kalambo social development foundation

Kalambo social development foundation

Matai, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka (unknown language) kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri
. shirika limejikita zaidi katika vipengele vikuu kama elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira, ukimwi na malaria, ujasiriamali, utawala bora na haki za binadamu. Hivyo:- (1)- kushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii. (2)- kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma hizo ipasavyo. (3)- kuishawishi serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa. (4)- kuhamasisha jamii kushiriki harakati za maendeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla. (5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu. (6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Makta
Mabadiliko Mapya
Kalambo social development foundation ina ujumbe mpya katika mada ombi la ushilikiano.
Kalambo social development foundation: what are your conditions so as you can coparate with Kalambo Social Foundation? If it is possible give us your contacts for futher communication. we are waiting for your reply
5 Novemba, 2015
Kalambo social development foundation ina mada mpya kuhusu ombi la ushilikiano.
Kalambo social development foundation: Habari za kazi ya ujenzi wa taifa tunaomba kushilikiana katika kazi kwa mashilika yaliyo tayali kwani sisi bado ni wachanga katika uendeshaji wa shirika tunaomba piauzoefu wenu katika kufanikisha makusudi ya ujenzi wa taifa letu, kwapamoja tunaweza ,mw/kiti Musa Mzopola.
10 Septemba, 2015
Kalambo social development foundation imeongeza Habari 3.
HII NI LATIBA YA SHILIKA LA (KASODEFO)RATIBA_YA_KASODEFO.docx
7 Julai, 2015
Kalambo social development foundation imeongeza Habari 3.
WANACHAMA WA (KASODEFO) WAKIWA KWENYE SEMINA YA PCCB.
5 Juni, 2015
Sekta
Sehemu