Log in
Kalambo social development foundation

Kalambo social development foundation

Matai, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

DIRA YA ASASI

             kuhakikisha mabadiliko katika nyanja ya kiuchumi na kijamii yanakuwepo

             katika jamii ili jamii iweze kunufaika kwayo

UTUME WA SHIRIKA

                  kuifanya jamii iweze kuhamasika dhidi ya kufikia malengo ya milenia

              kuwajali, kuwathamini na kuwajengea uwezo wa maisha watu waishio

              katika mazingira magumu hususani wanawake na vijana walio katika 

              hatarinikuathirika/ walioathirika kiuchumi na kijamii

MALENGO YA SHIRIKA

                   kwa kuwa shirika linalenga  zaidi katika kupambana na umasikini, umasikini,

                   ujinga, na maradhi shirika limejikita zaidi zaidi katika vipengele vikuu kama

                   Elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira pamoja na ukimwi na malaria,

                   ujasriamali, utawala bora na haki za binadamu

Hivyo: 

            kuushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii.

              kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga nakutekeleza huduma hizo  ipasavyo.

              Kuishawishi Serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa.

              Kuhamasisha jamii kushiriki katikaharakati za maendeleo ndani ya Wilaya na Nchikwa ujumla.

              Kubuni njia zitakazoleta Ufanisi katika vipengele vya hapo juu.

Kuandaa na kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Maktaba za jamii.

January 20, 2014
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.