watoto wakiwa wameshikilia majaladaya mafundisho mala baada ya semina kuisha tulikuwa tunawapa watoto elimu juu ya Afya kuhusu ungojwa wa kipidupidu. somo lilikuwa zuri sana
Ibitekerezo (0)

to day we support orphans and most vulnerable children's exercise book we support 6 exercise book for any children thank

Tumetoa madafutali 6 kwa watoto 150 wakiwemo watoto yatima na wanapokea katika family duni

Watoto wakiwa katika kazi ya ungawaji wa madafutali kwa watoto ambao ni yatima na wasiojiweza

Tanzania are very calm people with interesting traditiona and taboors well and nice developed sports and games to different tribes





