Log in
girls and young women against HIV/AIDS

girls and young women against HIV/AIDS

Sinza, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
GYOWHAT: Ni kikundi cha wanawake vijana tunaopambana na UKIMWI nchini Tanzania. Ofisi zetu ziko mtaa wa Sinza "B" Kata ya Sinza,Manispaa ya Kinondoni DSM. Email:gyowhatz@yahoo.com
Envaya leo wametembelea GYOWHAT kwa ajili ya kutuhamasisha uwekaji wa habari kwenye website.Ukweli ni kwamba tumeifurahia sana.