Envaya

COMMUNITY YOUTH FORUM

Tabora, Tanzania

To strengthen youth across the country as they promote sustainability, influence policy making, good governance, information sharing, to explore their talent and inter-cultural exchange.

Latest Updates
COMMUNITY YOUTH FORUM updated its History page.
Community Youth Forum (CYF) is a Non-Governmental Organization (NGO) registered under NGOs Act, 2002 made under section 12(2) of Act No. 24 with Reg. No OONGO/00003134 indicated area of operation is National, which directing to make the voice of youth to be used in the community, due to reality that... Read more
November 15, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM added 16 News updates.
Vijana wa kata ya Kanyenye, Tabora manispaa wakiwa kwenye Youth Forum, katika mradi wa WEZESHA SERA YA TAIFA YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA.
November 15, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM added a News update.
WEZESHA Project
October 9, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM added a News update.
October 8, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM added a News update.
Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme. Read more
September 20, 2011
COMMUNITY YOUTH FORUM added 3 News updates.
Wajumbe wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) katika picha ya pamoja wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza - Dar es Salaam. Mkurugenzi wa CYF Bw. A. D. Pigangoma (aliyesimama mstari wa mbele wa 5 kutoka kushoto) Read more
September 16, 2011
Sectors
Location
Tabora, Tanzania
See nearby organizations
Report
Success Story