Envaya

COMMUNITY YOUTH FORUM

MIJADALA YA EWURA CCC / WORLD BANK MKOANI TABORA

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MIJADALA YA EWURA CCC / WORLD BANK MKOANI TABORA

Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme.

September 20, 2011
« Previous Next »

Comments (1)

Ni vizuri sana! lakini itapendeza zaidi ikiwa jumuiya rafiki ikawa na wao wanashirikishwa katika majadiliano kama hayo ili mawazo tofauti kupatikana na kujadiliwa.
September 23, 2011

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.