Envaya

ARDHI, UWEKEZAJI NA HATMA YA MTANZANIA

Anthony Rwegasira (Community Empowerment Foundation (COEF))
20 Julai, 2011 21:04 EAT

 

Kila kukicha utasikia mwekezaji kapewa maelfu ya ekari za ardhi kwa ajili ya uwekezaji. Ardhi inayotwaliwa ni ile yenye makazi ya watanzania wanyonge. Hali ya kuuza nchi kwa vipande ikiendelea kama ilivyo sasa, hatima ya watanzania itakuwaje? Tujadili


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki