Anthony Rwegasira (Community Empowerment Foundation (COEF))
July 20, 2011 at 9:04 PM EAT
Kila kukicha utasikia mwekezaji kapewa maelfu ya ekari za ardhi kwa ajili ya uwekezaji. Ardhi inayotwaliwa ni ile yenye makazi ya watanzania wanyonge. Hali ya kuuza nchi kwa vipande ikiendelea kama ilivyo sasa, hatima ya watanzania itakuwaje? Tujadili