Log in
Christian Education and Development Organization

Christian Education and Development Organization

Nzega District, Tabora Region Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Kiongozi wa Asasi akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society baada ya kumaliza mafunzo ya Usimamizi wa Miradi

large.jpg

Kiongozi wa Asasi akionyeshwa namana ya kutengeneza Twinga na Sanamu nyingine alipotembelea kazi za msainii baada ya mafunzo ya madahara ya madawa ya kulevya kwa vijana wa umri wa miaka 18-25

large.jpg

Viongozi wa Asasi wakiwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Nzega walipokuwa wakitambulisha mradi wa Utawala Bora Uwazi na Uwajibikaji

large.jpg

Washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo wa kuthibiti utumiaji wa madawa ya kulevya katika wilaya ya Nzega

large.jpg

Viongozi wa mradi pamoja na viongozi wa kata, katika kutambulisha mradi wa Utawala Bora Uwazi na Uwajibikaji.

large.jpg

Viongozi wa Asasi wakiwa katika ofisi wakati wa utekelezaji wa mradi wa Utawala Bora Uwazi na Uwajibikaji