Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

large.jpg

Kikundi cha wanasanaa wakionyesha michezo mbali mbali katika kituo cha Brightlight Organization wakati Mgeni rasmi ndugu Robert Ngai na afisa maendeleo ya jamii wilaya ya Geita katika zoezi la ugawaji wa vyeti kwa watoto waliofanya vizuri katika masomo yao.

large.jpg

Baadhi ya chanzo cha maji maarufu kwa jina la Lwenge kinachotumiwa zaidi ya kaya 187 mkoani geita takwimu hiyo ilifanywa na watafiti kutoka asasi ya Brightlight Organization 17/01/2014.

large.jpg

Watumishi wa asasi ya BrightlightOrganization wakijadili namna ya kubaini vyazo asilia vya maji moani Geita mwaka 2014.

large.jpg

Mwl.mkuu ndugu David Ocheng akifuatilia kwa umakini watoto wakati wa mapumziko kituoni Brightlight Organization.

large.jpg

Baadhi ya volunteers kutoka nchini Ureno wanaojitolea katika asasi ya Brightlight Organization kwa upande wa haki za mtoto wa kike hapa mkoani Geita.

large.jpg

Mwl.Jenifrida Joas akiwa na watoto katika kituo cha Brightlight Organization akitoa elimu ya kisaiklojia kuhusiana na watoto wadogo.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji wa Brightlight Organization ndugu Mathew Daniel kulia akiwa katika picha ya pamoja na baathi ya wajumbe kutoka katika asasi mbalimbali mkoani Geita .

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji ndugu Mathew Daniel akitoa ushauri kutokana na kuboresha mtandao wa mkoa (GERENGONET)yaani Geita Regional NGOS network katika ukumbi wa Halmashauri ya mji wa Geita.

large.jpg

Timu ya watafiti kutoka vyuo vya maendeleo ya kijamii nchini Tazania wakiwa katika kalakana ya (BRIGHTLIGHT WORKSHOP) inayotumika kutoa mafunzo ya bure kwa vijana mkoani Geita.