Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

large.jpg

Afisa maendeleo ya jamii ndugu Majagi Maiga wa PILI kutoka kushoto akitazama igizo lililoanndaliwa na watoto wa mtaani kutoka katika kituo cha Brightlight Organization mkoani GEITA .

large.jpg

Hizi ni baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na wanawake wa ikikundi cha Agape women Group,katika Asasi ya Brightlight Organization mkoani Geita.

large.jpg

Mmoja kati ya wanawake waliohojiwa na Asasi ya Brightlight Organization akieleza kwa uchungu mkubwa kuhusu jinsi alivyofanyiwa ukatili na mume wake kupigwa na kufukuzwa kama mbwa.

large.jpg

Halmashauri ya mji wa Geita ikishirikiana na Asasi ya Brightlight Organization katika maadhimisho ya wanawake mkoani Geita.

large.jpg

Baadhi ya wanawake walioshiriki katika siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani iliyoadhimisho kwa furaha kubwa mkoani Geita ikifuatiwa na burudani mbalimbali,na hii ni timu ya mpira ya wanawake ikiwa tayari kwa ajiri ya mechi.

large.jpg

Baadhi ya watoto wanaohudumiwa katika kituo cha Brightlight Organization baada ya kupewa vyeti vya (tunu) walipo fanya vizuri katika masomo yao.

large.jpg

Wanafunzi waliomaliza mafunzo yao kutoka katika taasisi ya elimu ya watu wazima katika kituo cha Brightlight kilichopo mjini Geita .

large.jpg

Halmashauri ya mji wa Geita ikishirikiana na Asasi ya Brightlight Organization imeanza zoezi la kuwakusanya watoto wa mtaani baada ya ongezeko kuwa kubwa mjini hapa.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Brightlight Organization ndugu Mathew Daniel katika kikao cha wadau mkoani Geita akielezea umhimu wa maadhimisho ya siku ya wanawake yanayofanika kila mwaka.

large.jpg

Afisa maendeleo ndugu Majagi Maiga akitoa ufafanuzi juu ya maandalizi ya siku ya wanawake inayoadhimishwa kila mwaka duniani kote.