Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bight Light Mathew Daniel akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mradi wa JENGA UWEZO kwa Mwl. Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkoani.

large.jpg

Mkurugenzi mtendaji Mathew Daniel (kushoto) na Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika ofisi ya mwalimu mkuu wa S/Msingi Mkoani hapa Geita wakati wa kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi shuleni hapo.

large.jpg

Network programer of Bright Light Organization miss Bibiana Marco on her pose after a heavy task she was assigned to do.

large.jpg

Mwanawarsha bi Mariam Ngai akifuatilia kwa makini maelekezo ya mwezeshaji wakati wa mafunzo yakiendelea.

large.jpg

Wanawarsha wakiwa na nyuso za furaha wakimsikiliza mwezeshaji katika ukumbi wa mikutano wa asasi ya Bright Light.

large.jpg

Mwanawarsha ndugu Roggers William akisikiliza kwa makini maelekezo ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi yao.

large.jpg

Mwezeshaji ndugu Kim Adiel Juan akitoa maelekezo amilifu jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light ili kuleta maendeleo endelevu kwa wanachama na jamii kwa ujumla.

large.jpg

Mwanawarsha ndugu Mathew Daniel akitoa maoni wakati wa semina ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light.

large.jpg

These are nursery school pupils participating world's girl child celebration in Geita Region