Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Fundi mchundo wa Brightlight Organization ndugu Lameck akielezea jinsi Brightlight Organization ilivyosaidia vijana kuwapa mafunzo ya bure na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya mkoani Geita.

large.jpg

mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Brightlight Organization wa tatu kutoka kushoto ndugu Mathew Daniel akiwa na timu ya watafiti kutoka katika vyuo mbalimbali vya maendeleo ya kijamii nchini Tanzania.

large.jpg

Wanafunzi wakiwa katika majadiliano wakati wa vipindi vya jioni hapa kituoni Bright Light mkoani Geita.

large.jpg

Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani hapa kituoni Bright Light.Wakati masomo yakiendelea.

large.jpg

Mwenyekiti wa asasi ya Bright Light Mch. Robert Ngai (wa tatu kutoka kulia) akiwa na watumishi wa kituo cha elimu cha Bright light siku ya kumuaga mwl. Polle George (wa nne kutoka kulia).

large.jpg

Walimu na wanafunzi wa kituo cha elimu cha Bright Light wakati wa kumuaga mwalimu Polle George(wa tano kutoka kushoto).

large.jpg

Baadhi ya vituo vya asasi ya Brightlight vinavyotoa elimu mkoani Geita.