Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Katiba ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaICC_MBEYA_Rasimu_ya_Katiba_ya_BWJMK_ELAND_MOTEL_ARUSHA_101007_1_.doc

7 Werurwe, 2014
Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaheshimu haki zote za watoto na halitambagua mtoto yeyote kutokana na utaifa, ukabila, pahala anapotokea, maoni yake ya kisiasa, rangi, dini, jinsia, hali yake ya maisha, ulemavu, au kuathirika na virusi vya UKIMWI. Mikataba ya kimataifa kuhusu haki za mtoto ambayo imesainiwa na kuridhiwa na Tanzania ndio itakayokuwa mwongozo rasmi wa shughuli za Baraza. Baraza litafuata sera na taratibu zitakazoundwa na Baraza likisaidiwa na washauri na au walezi katika kuendesha shughuli zake. Sera na taratibu za Baraza zitakuwa wazi kwa watoto wote wa Tanzania, wawakilishi, washauri, walezi na wafadhili.

7 Werurwe, 2014

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.