
MIZINGA YA KISASA ILIYOCHINI YA KIKUNDI CHA VIJANA -BIHARAMULO GREEN MARKET 4 YOUTH BEE KEEPERS
Comments (0)

MIZINGA YA ASILI ILIYOCHINI YA MRADI WA GREEN MARKET FOR YOUTH BEE KEEPERS GROUP BIHARAMULO KWA UFADHILI WA I.L.O NA FCS

MZEE IBRAHIM AKIWAFUNDISHA VIJANA JINSI YA KUTENGENEZA MIZINGA YA KIASILI YA NYUKI

TUPATE URITHI WA TAALUMA ZA UFUGAJI WA KIASILI KUTOKA KWA WAZEE WETU NA MZEE IBRAHIMU ANAMIAKA HAMSINI NA MBILI ANAFUGA NYUKI KWA NJIA ZA KIENYEJI

SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA YA UFUGAJI NYUKI BOSEDA BIHARAMULO 9-5-2013 PONSIAN MRATIBU MIRADI MSAIDIZI




