Fungua
ANT Female genital multilation

ANT Female genital multilation

IRINGA MANISPAA, Tanzania

Kupiga vita ya ukeketaji wa mama na mtoto wa kike, kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia, na sera ya Utetezi ushirika.

Mabadiliko Mapya
ANT Female genital multilation imeongeza Habari.
Shirika la AFNET lili sajliwa mwaka 2002 nakupata namba ya usajili SO.11296 . Kwasasa linafanya kazi katika mkoa mzima wa Iringa Hususani Shuguli za kina mama Dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia . Tuna wakaribisha wale wote wanao Fanya shughuli zinazo husu Wanawake
4 Oktoba, 2011
ANT Female genital multilation imeongeza FHI kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
4 Oktoba, 2011
ANT Female genital multilation imeongeza International Prisoners Relief Organization (Morogoro Unit) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
4 Oktoba, 2011
ANT Female genital multilation imeongeza Foundation for Civil Society kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
4 Oktoba, 2011
ANT Female genital multilation imejiunga na Envaya.
4 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
IRINGA MANISPAA, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu