Envaya

Envaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya kiraia duniani. Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kupa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii. Jifunze zaidi