ZEPO INAWAKARIBISHA KATIKA PROGRAMU ZA MAFUNZO KWA GHARAMA NAFUU KWA VIJANA NA WATOTO AMBAO HAWAKUPATA NAFASI YA KWENDA SHULE.
PIA ZEPO INA PROGRAMU ZA MAFUNZO YA TUITION KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA NNE. MAFUNZO HAYA NI YA GHARAMA NAFUU SANA.TUNAWAKARIBISHA SANA WASILIANA NA
JOSHUA Y. BANGAYA KWA SIMU NAMBA 0719862103