kuhamasisha jamii kuhusu haki ya elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum. Yusra imeanzisha madarasa ya awali kwa watoto wa kutoka kwenye familia zisizo na uwezo. madarasa yanayotoa elimu kwa watoto wa kike, yatima na wenye ulemavu, katika kata ya sokon - 1, eneo la kwa morombo - mbauda manispaa ya arusha.
Mabadiliko Mapya
yusra foundation imeumba ukurasa wa Historia.
asasi ilianza mwaka 2009 na lilipata usajili rasmi mwaka 2012 kwa namba 95109. – ilikua ni wazo kutoka kwa habiba swedi, mtangazaji na mwandishi wa habari aliyeona kuna haja ya kuwa na asasi hii ya kiraia ili kuweza kuisaidia jamii hasa ya wanawake na watoto kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa elimu kwa watoto wao. ... Soma zaidi
9 Agosti, 2014
yusra foundation imeumba ukurasa wa Timu.
bodi ya shirika:- – amina kessi - mwenyekiti
rehema ramadhani - mjumbe
zainabu selemani - mjumbe
mwanazumbe zuberi - mjumbe
mwanaidi hassan - mjumbe
... Soma zaidi
9 Agosti, 2014
yusra foundation imejiunga na Envaya.
9 Agosti, 2014
Sekta
Sehemu
arusha, Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu