Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

kijana mjasiriamali, je uko tayari kuikuza biashara yako? Youth Vision Care (YOVC) tumefanya mazumzo ya kina na kampuni ya Equity For Tanzania na kugundua opportunity hii. utaweza kupata mkopo wa MASHINE bila dhamana yoyote! angalia ni haina gan ya mashine u plan to have na cost yake kwan mashine zilizopo ndani ya service hii ni za thaman kati ya mil. 16 mpaka mil. 80 tembelea www.equityfortanzania.org pia for more information about YOVC visit www.envaya.org /yovc NOTE. SIO BANK NI KAMPUN.

13 Agosti, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Youth Vision Care (YOVC) (Arusha) alisema:
"Build the youth for the future NOT future for the youth"
13 Agosti, 2014

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.