MAHITAJI YA KIPAUMBELE KWA MVC NI CHAKULA KWA SABABU KATI YA MVC 2544 WALIOPO WILAYANI SIKONGE MVC 2028 WANAUHITAJI WA CHAKULA NA HII INATOKANA NA KWAMBA WAZAZI NI WAZEE SANA PIA HAWANA UWEZO WA KUNUNUA CHAKULA,PIA SUALA LA SCHOOL MATERIALS
30 Septemba, 2012