Wajumbe wa YAD wakimsikiliza mtoa mada katika ukumbi mdogo wa libraly wa ubalozi wa marekani akitoa mada ya umuhimu wa wanawake duniani. Pia mtoa mada alitoa ushuda mkubwa kwa kuipongeza serikali ya awamu ya nne chini ya urais wa Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutoa kipaumbele na kuwapa mamlaka wanawake na kuweza kushiriki katika kutoa maamuzi ya juu katika serikali yake.
Comments (2)