Envaya

Mkutano wa siku 3 wa kukusanya maoni ya katiba umemalizika na vijana wamefanikiwa kutoa maoni yao. mambo makuu yaliyojitokeza ni pamoja na. Madaraka ya rais ni makubwa, idadi ya wabunge na idadi ya majimbo yaongezwe, haki za walemavu zibainishwe, lugha ya kiswahili iwekewe mkazo na kuthaminiwa, serikali tatu italegeza utengano wa muungano

31 Kanama, 2013
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.