Envaya

Siku ya UKIMWI Duniani. Kila mmoja anakaribishwa kushiriki katika maadhimisho haya. Kwa wakazi wa Moshi, Siku hii itaanza saa mbili asubuhi pale katika ofisi za Manispaa ya Moshi na kufanya maandamano kuelekea viwanja vya Manyema vilivyopo karibu na Soko la Mbuyuni Moshi. Burudani  na elimu mbalimbali zitakuwepo.Wote Mnakaribishwa

24 Novemba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

White Orange Youth (Majengo Moshi) alisema:
Jamii bila ukimwi inawezekana. Tushirikiane kwa pamoja
24 Novemba, 2012
White Orange Youth (Majengo Moshi) alisema:
Timiza wajibu wako
24 Novemba, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.