Asasi ilihudhuria warsha ya mafunzo ya siku 5 huko Morogoro iliyoandaliwa na LHRC. Waliokwenda huko walikuwa ni; Mr Tanmoza Fungafunga-M/kiti, Bi Irene Liumba- M/hazina na wajumbe Edna Ngasiwa, Yakobo Mchopana Maurice Nghitu.
August 17, 2015