Vijana wanaotoka katika mazingira magumu katika kata 29 za manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa VIYOSO bw Freddy watatu kutoka kulia walio chuchumaa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za viyoso kwa lengo la kuwezeshwa kuendelea na masomo yao. Shirika liliwasapoti na sasa wanaendelea na masomo yao
20 Aprili, 2014