Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Vijana wanaotoka katika mazingira magumu katika kata 29 za manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa VIYOSO bw Freddy watatu kutoka kulia walio chuchumaa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za viyoso kwa lengo la kuwezeshwa kuendelea na masomo yao. Shirika liliwasapoti na sasa wanaendelea  na masomo yao

20 Mata, 2014
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.