Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
SANAA KITAANI: #NdotoMpya
Ni programu ambayo ina mgusa MSANII,MDAU WA SANAA,WATAALAMU WA SANAA PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WANAO SIMAMIA SANAA YETU TANZANIA/
SANAA KITAANI
NI UTEKELEZAJI WA MAMBO (5) 1. VIPINDI VYA TV
2. KUVUMBUA VIPIJI
3. MAFUNZO KWA WASANI
4. MIDAHALO IHUSUYO SANAA TZ
5. MATEMBEZI KUBADILISHANA TAMADUNI