Baada ya kumaliza mafunzo yaliyo tuwezesha kuelewa na kuandika mpango mkakati, kanuni na utunzaji wa fedha za asasi, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa uongozi na wafanya kazi wote wa The foundation for civil sociaty kwa kuweza kutuwezesha kufika hapa tulipo.
Pamoja nashukrani hizo pia tunatoa shukrani kwenu shirika la Envaya kwa kutuwezesha kusikika na kubadilishana mawazo na wadauwenzetu, tunaomba kuwakumbusha ombi letu lawafanya kazi wa kujitolea bado tunasubiri na hivi sasa ndo tunawahitaji sana kwani kazi zimeongezeka katika shirika kulingana na mpango mkakati tulio nao.
6 Septemba, 2012