Fungua
Tumaini Women Development Association

Tumaini Women Development Association

Kemondo ward in Bukoba, Tanzania

Shime wana harakati, tuelimishe jamii. Jamii yetu ya kitanzania bado inahitaji kuelimishwa hasa katika maeneo ya usawa wa jinsia katika elimu, afya uongozi na umiliki wa rasilimali ili tuweze kutimiza dhana ya ukombozi wa wanawake kimapinduzi.
27 Aprili, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

tumaini women development association (Kemondo Bukoba Kagera Tanzania) alisema:
Tuwodea inatoa wito kwa wanawake wote Tanzania nzima, kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni kuhusu mabadiriko ya katiba. Ili sheria zinazo wakandamiza wanawake na watoto zipate kurekebishwa
27 Aprili, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.