Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1.TRATET ni shirika linaloshughulika kwa

    a.Kutoa elimu juu ya kilimo endelevu/kilimo hifadhi

     b.Kuelimisha vijana wa kike na wa kiume juu ya elimu ya ushonaji bora.

     c.Pia shirika la TRATET linahusika kuhimiza jamii juu ya umuhimu wa elimu kwanzia elimu ya awali hadi vyuo vikuu.