Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
(hidden) |
widget:volunteer:help | Write about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc. | Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali ya kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k. | envayateam | May 3, 2012 |
widget:volunteer:label | Your organization's volunteer opportunities | Nafasi za kujitolea za asasi yako. | envayateam | May 3, 2012 |
lang:unknown | (unknown language) | (lugha nyingine) | envayateam | May 2, 2012 |
edit_design | Edit Design | Hariri Mwonekano | envayateam | May 2, 2012 |
view_site | View Site | Angalia Ukurasa | envayateam | May 2, 2012 |
submit | Submit | Toa | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:disclaimer | Note: All volunteer opportunities are submitted and coordinated by the organizations listed below, not by Envaya itself. Envaya does not verify the accuracy of these volunteer opportunities. | Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi. | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:add | Add your organization's volunteer opportunities! | Ongeza nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:update | Update your organization's volunteer opportunities! | Weka nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:list_below | Below is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers. | Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea. | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:desc_remote | Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in East Africa. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki. | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:desc_local | Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in your area. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi za kiraia zilizopo katika eneo lako. | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:empty | No volunteer opportunities found. | Nafasi za kujitolea hazipatikani kwa sasa. | envayateam | May 2, 2012 |
volunteer:title | Get involved! | Jitolee! | envayateam | May 2, 2012 |