Envaya

Translations: Kiswahili (sw): Translators: CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION (CHUYODO)

Name CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION (CHUYODO)
Last update March 13, 2012
Translations 1
Votes 1

Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
WI000CF92549881000075102:contenttarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya kuangalia maktaba yetu ,tumezitembelea jumuia zilizokaribu na zetu mfano ZEDY,NGORC kwa ajili ya kutafuta ushiriiano kutokka kwao pia tumepata...tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya kuangalia maktaba yetu ,tumezitembelea jumuia zilizokaribu na zetu mfano ZEDY,NGORC kwa ajili ya kutafuta ushiriiano kutokka kwao pia tumepata wanachama...CHUYODOMarch 13, 2012