Envaya
Translations
:
Kiswahili (sw)
: todo
Instructions
Filter:
All
Not translated
Translated
Unapproved
Approved
Progress:
13 / 14
Base
Kiswahili
There's still more to do! Click the links below to improve your website:
Bado kuna zaidi ya kufanya! Bonyeza viungo vya chini kuboresha tovuti yako:
Edit
To Do
Kufanya
Edit
Done
Mafunzo kwa wakulima wa kahawa, Vocation training skills,Usambazaji wa Miche ya kahawa-Arabica,usambazaji wa Ng'ombe wa Maziwa,na Bwawa la Samaki,
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
Write about your history
CSM ilizaliwa mwaka katika Wilaya ya karagwe mkoani kagera,Tanzania mnamo mwaka 2002, na kusajiliwa rasmi mwaka 2010.CSM lilianzishwa na MR&Mrs Jonathan Mulokozi, ambao wito wao mkubwa ulikuwa ni kuwasaidia watu wasiojiweza ktk nyanja mbalimbali.
Edit
Write about your projects
CSM ni NGO ambayo ina mradi mkubwa wa uzalishaji na uboleshaji wa zao la Kahawa hususani aina ya Arabica, na Tuna malengo ya Kuanzisha Kituo kikubwa cha watoto yatima.CSM lina mkakati wa kutoa elimu kwa wajasilia mali, na Usindikaji wa mazao yatokanayo na Kilimo.CSM limeanzisha mradi wa ufugaji samaki katika kijiji cha Kishojo, Wilayani karagwe,kagera tanzania kwa kushirikana na Halmashauri ya wilaya ya karagwe. CSM tangu mwaka 2002 tulianza kutoa elimu, na Vitendea kazi kwa taaluma ya Ufundi...
Edit
Create home page
Umba ukurasa mkuu
Edit
Add your team members
CSM lina waratibu wakuu wapatao 6.Karagwe kuna MR&Mrs Jonathan Mulokozi, jackson kamkoto,H.Ng'oma, na Huko Arusha, Kuna, Rev, Viany kamili, na Rev, Peter paul, n
Edit
Share your latest news
Tunahitaji kufanya na wataalam waliosomea mambo ya Kilimo na mifugo katika mradi wetu wa Q. Coffee production hapa wilayani karagwe
Edit
Add some photos
Ongeza picha nyingine
Edit
Add your logo
Ongeza nembo yako
Edit
Add contact information
CSM Box 370,kayanga karagwe,email,john.mulokozi@gmail.com , jmulokozi2000@yahoo.com,Mob.+255(0) 769 62 16 30
Edit
Describe your partnerships
CSM linaubia na marafiki wa Uk,USA, na watendaji wa Serikali, na Watumishi wa Mungu ndani na nje ya nchi.
Edit
Start a discussion
Anza majadiliano
Edit
Request for volunteers
(Not translated)
Edit