Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
Write about your projects |
CSM ni NGO ambayo ina mradi mkubwa wa uzalishaji na uboleshaji wa zao la Kahawa hususani aina ya Arabica, na Tuna malengo ya Kuanzisha Kituo kikubwa cha watoto yatima.CSM lina mkakati wa kutoa elimu kwa wajasilia mali, na Usindikaji wa mazao yatokanayo na Kilimo.CSM limeanzisha mradi wa ufugaji samaki katika kijiji cha Kishojo, Wilayani karagwe,kagera tanzania kwa kushirikana na Halmashauri ya wilaya ya karagwe. CSM tangu mwaka 2002 tulianza kutoa elimu, na Vitendea kazi kwa taaluma ya Ufundi kazi za mikono hapa Wilayani Karagwe, na tayari vijana wapatao 37 walisha hitimu na baadhi yao walipewa vitendea kazi, kwa kushirikina na wahisani mbalimbali toka NetherLands, na Uk. |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Maoni
A link for organizations to edit their Projects page.
11 Mei, 2011 na youngj
|
Historia ya tafsiri
|