Search | Tafuta | Hariri |
Enter the name or location of the organization you're looking for. | Chapa jina au sehemu ya shirika unalotafuta. | Hariri |
No results found! | Shirika lolote halionekani! | Hariri |
Organizations near '%s': | Mashirika karibu na '%s': | Hariri |
Organizations with '%s' in their name: | Mashirika yaliyo na '%s' ndani ya majina yao: | Hariri |
Volunteer | Jitolee | Hariri |
Get involved! | Jitolee! | Hariri |
No volunteer opportunities found. | Nafasi za kujitolea hazipatikani kwa sasa. | Hariri |
Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in your area. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi za kiraia zilizopo katika eneo lako. | Hariri |
Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in East Africa. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki. | Hariri |
Below is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers. | Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea. | Hariri |
Update your organization's volunteer opportunities! | Weka nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | Hariri |
Add your organization's volunteer opportunities! | Ongeza nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | Hariri |
Note: All volunteer opportunities are submitted and coordinated by the organizations listed below, not by Envaya itself. Envaya does not verify the accuracy of these volunteer opportunities. | Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi. | Hariri |
Sector | Sekta | Hariri |