Envaya
Tafsiri
:
Kiswahili (sw)
: Interface Text
Chujio:
Zote
Bila tafsiri
Zenye tafsiri
Unapproved
Approved
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
19
20
21
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Click below to install Envaya Reports on your computer.
Bonyeza hapo chini ili kupakua Envaya Reports kwenye kompyuta yako.
Hariri
Envaya Reports is not available for your system.
Envaya Reports haipatikani kwa kompyuta yako.
Hariri
Opening Envaya Reports...
Ikifungua Envaya Reports...
Hariri
Download report to your computer
Pakua ripoti kwenye kompyuta yako
Hariri
Upgrade Envaya Reports
Boresha Envaya Reports
Hariri
Install Envaya Reports
Pakua Envaya Reports
Hariri
Envaya Reports works on Windows or Linux, but currently does not work on Mac OS X.
Envaya Reports inafanya kazi kwenye Windows au Linux, lakini kwa sasa haifanyi kazi kwenye Mac OS X.
Hariri
In order to use this feature, you must install the Envaya Reports program on your computer.
Ili kutumia uwezo huu, lazima kupakua programu ya Envaya Reports (Ripoti za Envaya) kwenye kompyuta yako.
Hariri
This page allows you to save {title} on your own computer, and continue editing your responses even when you do not have a connection to the internet.
Ukurasa huu unakuruhusu kuhifadhi {title} kwenye kompyuta yako yenyewe, na kuendelea kuhariri majibu yako hata ambapo huna intaneti.
Hariri
Or, continue editing the report on %s
Au, endelea kuhariri ripoti kwenye %s
Hariri
Work Offline
Fanya kazi bila intaneti
Hariri
If you want to save this report on your computer, and edit your responses without being connected to the internet, click %s.
Kama ukitaka kuhifadhi ripoti hii kwenye kompyuta yako, na kuhariri majibu yako bila kuwa na intaneti, bonyeza %s.
Hariri
Add another page...
Ongeza ukurasa mwingine...
Hariri
Edit translations
Hariri tafsiri
Hariri
View using Google Translate
Ona kupitia Google Translate
Hariri
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
19
20
21
Ifuatayo »