Write about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc. | Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali pa kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k. | Hariri |
Your organization's volunteer opportunities | Nafasi za kujitolea za asasi yako | Hariri |
Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in East Africa. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki. | Hariri |
View Site | Angalia Tovuti | Hariri |
Website design saved successfully. | Mwonekano wa tovuti umehifadhiwa. | Hariri |
Submit | Toa | Hariri |
Note: All volunteer opportunities are submitted and coordinated by the organizations listed below, not by Envaya itself. Envaya does not verify the accuracy of these volunteer opportunities. | Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi. | Hariri |
Add your organization's volunteer opportunities! | Ongeza nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | Hariri |
Update your organization's volunteer opportunities! | Weka nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako! | Hariri |
Below is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers. | Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea. | Hariri |
Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in your area. | Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi za kiraia zilizopo katika eneo lako. | Hariri |
No volunteer opportunities found. | Nafasi za kujitolea hazipatikani kwa sasa. | Hariri |
Get involved! | Jitolee! | Hariri |
Volunteer | Jitolee | Hariri |
Request for volunteers | (Bila tafsiri) | Hariri |