Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kwa hili la kuwatafuta watumiaji walioacha madawa na kurejea tena kisha kuwasaidia kwa kuwarejesha tena kituoni bila malipo TAWABINA Mola atakulipeni. Na nyinyi vijana mnaoamua kuacha madawa kuweni wanaume kwanini mnashindwa mbona wenzenu wameweza, msiiongengezee vikwazo asasi na wadau wanaokusaidieni.
KWA UJUMLA NATOA HONGERA KWA SOBERHOUSE ZOTE NCHINI NA KUWATAKIA KAZI NJEMA HUKU WAKITARAJI MALIPO KUTOKA KWA MOLA KWANI KUMTOA MTU KATIKA JANGA LA MADAWA NI JIHADI TOSHA. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe