Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
@ COLD TZ Kutokana na kmbukumbu ni kwamba Tanzania tumerithi katiba kutoka serikali ya kikoloni iotunngwa kwa mtazamo wa vyama vingi kala ya uhuru, lakini mara baada ya uhuru yakafanyika marekebisho mara mbili kwa msingi wa chama kimoja.Kwahiyo ni kweli lazima katiba ya sasa ishirikishe vyama vingi. Kuhusu madaraka makubwa aliokuwa nayo rahisi kwa mtazmo wa katiba hii ya sasa rejea kwenye majibu au maoni tuliyo ya toa kwa bwana julius, wa PELO, alafu utupatie mtazamo na maoni yako. ahsante kwa kuchangia mada hii. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe